Sefania 2:14 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 14 Mifugo italala ndani yake, kila aina ya wanyama wa mwituni.* Mwari na nungunungu watalala usiku kati ya nguzo zake zilizoanguka. Sauti itaimba dirishani. Kutakuwa na uharibifu kwenye kizingiti;Kwa maana atafunua mbao za mierezi zinazopamba kuta. Sefania Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 2:14 w07 11/15 11 Sefania Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 2:14 Mnara wa Mlinzi,11/15/2007, uku. 116/1/1989, uku. 30
14 Mifugo italala ndani yake, kila aina ya wanyama wa mwituni.* Mwari na nungunungu watalala usiku kati ya nguzo zake zilizoanguka. Sauti itaimba dirishani. Kutakuwa na uharibifu kwenye kizingiti;Kwa maana atafunua mbao za mierezi zinazopamba kuta.