Hagai 1:6 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 6 Mmepanda mbegu nyingi, lakini mnavuna kidogo.+ Mnakula, lakini hamshibi. Mnakunywa, lakini hamtosheki. Mnavaa nguo, lakini hakuna yeyote anayepata joto. Kibarua huweka mshahara wake katika mfuko uliojaa mashimo.’” Hagai Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 1:6 w07 12/1 8-9; w06 4/15 22 Hagai Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 1:6 Mnara wa Mlinzi,12/1/2007, kur. 8-94/15/2006, uku. 226/1/1989, uku. 30
6 Mmepanda mbegu nyingi, lakini mnavuna kidogo.+ Mnakula, lakini hamshibi. Mnakunywa, lakini hamtosheki. Mnavaa nguo, lakini hakuna yeyote anayepata joto. Kibarua huweka mshahara wake katika mfuko uliojaa mashimo.’”