-
Zekaria 1:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 “Niliona maono wakati wa usiku. Nilimwona mtu akiendesha farasi mwekundu, akasimama tuli bondeni katikati ya miti ya mihadasi; na nyuma yake kulikuwa na farasi wekundu, wa kahawia, na weupe.”
-