-
Zekaria 5:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Kwa hiyo malaika akasema: “Huu ni Uovu.” Kisha akamsukuma mwanamke huyo ndani ya chombo hicho cha efa na kukifunika kwa nguvu kwa kile kifuniko kizito cha madini ya risasi.
-