-
Zekaria 6:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 “Chukua vitu ambavyo Heldai, Tobaya, na Yedaya walileta kutoka kwa watu walio uhamishoni; na siku hiyo, ni lazima uende katika nyumba ya Yosia mwana wa Sefania ukiwa pamoja na watu hawa waliotoka Babiloni.
-