-
Zekaria 10:2Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
Husimulia ndoto zisizo na faida,
Na kwa ubatili wao hujaribu kufariji.
Ndiyo sababu watatangatanga kama kondoo.
Watateseka, kwa maana hakuna mchungaji.
-