-
Zekaria 10:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Ingawa ninawatawanya kama mbegu miongoni mwa mataifa,
Watanikumbuka wakiwa katika maeneo ya mbali;
Watahuishwa na kurudi pamoja na wana wao.
-