-
Zekaria 11:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 “‘Kwa maana sitawahurumia tena wakaaji wa nchi,’ asema Yehova. ‘Kwa hiyo nitamtia kila mtu mikononi mwa jirani yake na mfalme wake; nao wataipondaponda nchi, nami sitawaokoa kutoka mikononi mwao.’”
-