-
Mathayo 5:12Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
12 Shangilieni na kuruka kwa shangwe, kwa kuwa thawabu yenu ni kubwa katika mbingu; kwa maana katika njia hiyo waliwanyanyasa manabii waliokuwa kabla yenu.
-