Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 5:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Kwa hiyo, yeyote anayevunja mojawapo ya amri hizi ndogo na kufundisha wengine kufanya hivyo, ataitwa mdogo kuhusiana na Ufalme wa mbinguni. Lakini yeyote anayeshika na kufundisha amri hizi ataitwa mkubwa kuhusiana na Ufalme wa mbinguni.

  • Mathayo 5:19
    Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
    • 19 Kwa hiyo, yeyote yule avunjaye moja ya amri hizi ndogo zaidi sana na kufundisha wanadamu hivyo, yeye ataitwa ‘mdogo zaidi sana’ kuhusiana na ufalme wa mbingu. Kwa habari ya yeyote azifanyaye na kuzifundisha, huyo ataitwa ‘mkubwa’ kuhusiana na ufalme wa mbingu.

  • Mathayo
    Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019
    • 5:19

      Yesu—Njia, uku. 87

      Mnara wa Mlinzi,

      10/15/1986, uku. 8

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki