-
Mathayo 10:5Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
5 Hawa kumi na wawili Yesu aliwatuma, akiwapa maagizo haya: “Msiende zenu katika barabara ya mataifa, na msiingie katika jiji la Wasamaria;
-