-
Mathayo 14:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Baadaye wanafunzi wake wakaja wakaondoa maiti hiyo na kuizika, kisha wakaenda kumjulisha Yesu.
-
-
Mathayo 14:12Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
12 Mwishowe wanafunzi wake wakaja na kuiondoa maiti na kumzika nao wakaja na kuripoti kwa Yesu.
-