-
Mathayo 14:30Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
30 Lakini alipoitazama ile dhoruba ya upepo akaogopa. Alipoanza kuzama, akapaza sauti: “Bwana, niokoe!”
-
-
Mathayo 14:30Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
30 Lakini akitazama ile dhoruba ya upepo, akaogopa na, baada ya kuanza kuzama, akapaaza kilio: “Bwana, niokoe!”
-