-
Mathayo 14:35Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
35 Watu wa huko walipomtambua, wakaeneza habari katika maeneo yote yaliyokuwa karibu, basi watu wakamletea wagonjwa wote.
-
-
Mathayo 14:35Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
35 Walipomtambua yeye wanaume wa mahali hapo wakapeleka habari katika nchi yote hiyo yenye kuzingira, na watu wakamletea wote wale waliokuwa wagonjwa.
-