-
Mathayo 16:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Ndipo wakaelewa kwamba hakuwa akizungumza kuhusu chachu ya mikate, bali kujihadhari na mafundisho ya Mafarisayo na Masadukayo.
-
-
Mathayo 16:12Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
12 Ndipo wakafahamu kwamba alisema juu ya kujiangalia, si na chachu ya ile mikate, bali na fundisho la Mafarisayo na Masadukayo.
-