-
Mathayo 24:1Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 Yesu alipokuwa akitoka hekaluni, wanafunzi wake wakamkaribia na kumwonyesha majengo ya hekalu.
-
-
Mathayo 24:1Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
24 Akiondoka sasa, Yesu akawa ameshika njia yake kutoka hekaluni, lakini wanafunzi wake wakamkaribia kumwonyesha majengo ya hekalu.
-