-
Marko 6:20Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
20 Kwa maana Herode alikuwa akimhofu Yohana, akimjua kuwa mtu mwadilifu na mtakatifu; naye alikuwa akimtunza salama. Na baada ya kumsikia akawa hajui kabisa la kufanya, lakini aliendelea kumsikia kwa mteremo.
-