-
Marko 6:22Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
22 Na binti ya huyuhuyu Herodiasi akaingia akacheza dansi na kumpendeza Herode na wale wenye kuegama pamoja naye. Mfalme akamwambia mwanamwali: “Uniombe mimi chochote kile utakacho, nami hakika nitakupa hicho.”
-