-
Marko 6:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 Akaondoka na kwenda kumuuliza mama yake: “Niombe nini?” Akamwambia: “Kichwa cha Yohana Mbatizaji.”
-
-
Marko 6:24Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
24 Naye akatoka kwenda akamwambia mama yake: “Niombe nini?” Yeye akamwambia: “Kichwa cha Yohana mbatizaji.”
-