-
Marko 6:27Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
27 Mara moja mfalme akamtuma mlinzi na kumwamuru alete kichwa cha Yohana. Basi akaenda gerezani na kumkata kichwa,
-
-
Marko 6:27Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
27 Kwa hiyo mara mfalme akatuma mlinzi wa mfalme na kumwamuru alete kichwa chake. Naye akaenda akamkata kichwa gerezani
-