-
Marko 6:37Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
37 Kwa kujibu akawaambia: “Nyinyi wapeni kitu cha kula.” Ndipo wakamwambia: “Je, tutakwenda zetu na kununua mikate yenye thamani ya dinari mia mbili na kuwapa watu hiyo ili wale?”
-