-
Marko 14:11Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
11 Waliposikia hilo, wakashangilia na kuahidi kumpa sarafu ya fedha. Kwa hiyo yeye akaanza kutafuta jinsi ya kumsaliti kwa wakati ufaao.
-