-
Marko 14:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Basi wanafunzi wakaenda, wakaingia jijini na kupata kama alivyowaambia, nao wakaandaa Pasaka.
-
-
Marko 14:16Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
16 Kwa hiyo wanafunzi wakatoka kwenda, nao wakaingia katika jiji na kukuta kama vile alivyowaambia; nao wakatayarisha kwa ajili ya sikukuu ya kupitwa.
-