-
Marko 14:25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 Kwa kweli ninawaambia, sitakunywa tena kamwe divai ya mzabibu mpaka siku nitakapokunywa ikiwa mpya katika Ufalme wa Mungu.”
-
-
Marko 14:25Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
25 Kwa kweli nawaambia nyinyi, kwa vyovyote sitakunywa tena kamwe kutokana na zao la mzabibu hadi siku ile nitakapolinywa likiwa jipya katika ufalme wa Mungu.”
-