-
Marko 14:51Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
51 Hata hivyo, kijana fulani aliyevaa vazi la kitani bora juu ya mwili wake ulio uchi akaanza kumfuata kwa karibu, nao wakajaribu kumkamata,
-
-
Marko 14:51Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
51 Lakini mwanamume fulani kijana aliyevaa vazi la kitani bora juu ya mwili wake ulio uchi akaanza kumfuata karibu-karibu; nao wakajaribu kumkamata,
-