-
Marko 14:54Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
54 Lakini Petro, akiwa umbali wa kutosha, akamfuata hadi katika ua wa kuhani wa cheo cha juu; naye alikuwa ameketi pamoja na mahadimu wa nyumba na kujipasha moto mwenyewe mbele ya moto mwangavu.
-