-
Marko 14:60Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
60 Mwishowe kuhani wa cheo cha juu akainuka katikati yao na kumuuliza Yesu, akisema: “Je, husemi lolote kwa kujibu? Ni nini hawa wanashuhudia dhidi yako?”
-