-
Luka 7:42Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
42 Waliposhindwa kumlipa, akawasamehe kwa hiari wote wawili. Kwa hiyo, ni nani kati yao atakayempenda zaidi?”
-
-
Luka 7:42Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
42 Walipokuwa hawana kitu chochote cha kulipa, aliwasamehe kwa hiari wote wawili. Kwa hiyo, ni yupi kati yao atampenda zaidi?”
-