-
Luka 7:46Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
46 Hukunipaka mafuta kichwani, lakini mwanamke huyu ameipaka miguu yangu mafuta yenye marashi.
-
-
Luka 7:46Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
46 Wewe hukupaka kichwa changu mafuta; lakini mwanamke huyu alipaka miguu yangu mafuta yenye marashi.
-