-
Luka 22:36Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
36 Kisha akawaambia: “Lakini sasa yule aliye na mkoba wa pesa au mfuko wa chakula aubebe, na yule asiye na upanga, auze vazi lake la nje anunue upanga.
-
-
Luka 22:36Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
36 Ndipo yeye akawaambia: “Lakini sasa acheni yule ambaye ana kibeti akichukue, vivyo hivyo pia mfuko wa chakula; na acheni yule asiye na upanga auze vazi lake la nje na kununua mmoja.
-