-
Yohana 1:26Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
26 Yohana akawajibu: “Mimi ninabatiza katika maji. Kuna mtu aliyesimama miongoni mwenu msiyemjua,
-
-
Yohana 1:26Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
26 Yohana akawajibu, akisema: “Mimi nabatiza katika maji. Katikati yenu mmoja amesimama msiyemjua nyinyi,
-