-
Yohana 1:38Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
38 Ndipo Yesu akageuka na alipowaona wakimfuata, akawauliza: “Mnatafuta nini?” Wakamwambia: “Rabi (neno ambalo linapotafsiriwa linamaanisha, “Mwalimu”), unakaa wapi?”
-
-
Yohana 1:38Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
38 Ndipo Yesu akageuka na, akipata kuwaona wanafuata, akawaambia: “Mnatafuta nini?” Wao wakamwambia: “Rabi, (ambalo litafsiriwapo humaanisha, Mwalimu,) unakaa wapi?”
-