-
Yohana 3:8Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
8 Upepo huvuma ambako wataka, nawe wasikia mvumo wao, lakini hujui ambako huo watoka wala uendako. Ndivyo alivyo kila mtu ambaye amezaliwa kutokana na roho.”
-