-
Yohana 14:9Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
9 Yesu akamwambia: “Je, mimi nimekuwa pamoja nanyi watu kwa muda mrefu sana hivyo, na bado, Filipo, hujaja kunijua mimi? Yeye ambaye ameniona mimi amemwona Baba pia. Ni jinsi gani wewe wasema, ‘Tuonyeshe Baba’?
-