-
Yohana 18:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 Kwa nini unaniuliza? Waulize wale waliosikia nilichowaambia. Ona! Hawa wanajua nilichosema.”
-
-
Yohana 18:21Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
21 Kwa nini waniuliza maswali? Waulize maswali wale ambao wamesikia lile nililowaambia. Ona! Hawa wajua lile nililosema.”
-