-
Matendo 2:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Basi sauti hiyo ilipotokea, umati ukakusanyika na kustaajabu, kwa sababu kila mmoja wao aliwasikia wakiongea katika lugha yake mwenyewe.
-
-
Matendo 2:6Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
6 Kwa hiyo, mvumo huo ulipotokea, umati ukaja pamoja nao ukashikwa na bumbuazi, kwa sababu kila mmoja aliwasikia wakisema katika lugha yake mwenyewe.
-