-
Matendo 3:12Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
12 Petro alipoona hili, akawaambia hao watu: “Wanaume wa Israeli, kwa nini mnastaajabu juu ya hili, au kwa nini mnatukodolea macho kama kwamba kwa nguvu ya binafsi au ujitoaji-kimungu tumemfanya atembee?
-