-
Matendo 3:13Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
13 Mungu wa Abrahamu na wa Isaka na wa Yakobo, Mungu wa baba zetu wa zamani, amemtukuza Mtumishi wake, Yesu, ambaye nyinyi, kwa upande wenu, mlimkabidhi na kumkana mbele ya uso wa Pilato, alipokuwa ameamua kumfungua.
-