-
Matendo 3:22Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
22 Kwa kweli, Musa alisema, ‘Yehova Mungu atawainulia kutoka miongoni mwa ndugu zenu nabii kama mimi. Lazima mmsikilize yeye kulingana na mambo yote awaambiayo nyinyi.
-