-
Matendo 6:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Nao wakawachochea watu, wazee, na waandishi, wakamjia ghafla, wakamkamata kwa nguvu na kumpeleka kwenye Sanhedrini.
-
-
Matendo 6:12Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
12 Nao wakawachochea watu na wanaume wazee na waandishi, na, wakimjia yeye kwa ghafula, wakamchukua kwa nguvu na kumwongoza hadi kwenye Sanhedrini.
-