-
Matendo 18:8Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
8 Lakini Krispo ofisa-msimamizi wa sinagogi akawa mwamini katika Bwana, na ndivyo na watu wote wa nyumbani mwake. Na wengi kati ya Wakorintho waliosikia wakaanza kuamini na kubatizwa.
-