-
Matendo 18:26Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
26 Na mwanamume huyu akaanza kusema kwa ujasiri katika sinagogi. Prisila na Akila walipomsikia, walishirikiana naye na kumfafanulia kwa usahihi zaidi njia ya Mungu.
-