-
Matendo 24:1Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
24 Siku tano baadaye kuhani wa cheo cha juu Anania akateremka pamoja na wanaumeĀ fulani wazee na msemaji wa hadharani, Tertulo fulani, nao wakampa gavana habari dhidi ya Paulo.
-