-
Matendo 24:14Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
14 Lakini mimi nakiri hili kwako, kwamba, kulingana na ile njia waiitayo ‘farakano,’ kwa namna hii mimi ninatoa utumishi mtakatifu kwa Mungu wa baba zangu wa zamani, kwa kuwa naamini mambo yote yaliyoelezwa katika Sheria na kuandikwa katika Manabii;
-