-
Matendo 24:24Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
24 Siku kadhaa baadaye Feliksi akawasili pamoja na Drusila mke wake, aliyekuwa Myahudi wa kike, naye akatuma watu kumwita Paulo na kumsikiliza juu ya itikadi katika Kristo Yesu.
-