-
Matendo 25:11Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
11 Ikiwa, kwa upande mmoja, mimi ni mkosaji kwa kweli na nimefanya jambo lolote linalostahili kifo, sitoi udhuru nisife; ikiwa, kwa upande mwingine, hakuna hata moja la mambo hayo lililoko ambalo watu hawa wanishtakia, hakuna mtu awezaye kunikabidhi kwao ili kujipendekeza. Mimi nakata rufani kwa Kaisari!”
-