-
Waroma 10:12Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
12 Kwa maana hakuna tofauti yoyote kati ya Myahudi na Mgiriki, kwa maana kuna Bwana yuleyule juu ya wote, aliye tajiri kwa wote wale wanaomwita.
-