-
1 Wakorintho 4:5Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
5 Kwa sababu hiyo msihukumu kitu chochote kabla ya wakati upasao, mpaka Bwana aje, atakayeyaleta mambo ya siri yaliyo ya giza kwenye nuru na pia kufanya mashauri ya mioyo kuwa dhahiri, na ndipo kila mmoja atakapopata sifa yake ikimjia kutoka kwa Mungu.
-