-
Wafilipi 2:17Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
17 Ingawaje, hata ikiwa ninamwagwa kama toleo la kinywaji juu ya dhabihu na utumishi wa watu wote ambako imani imewaongoza nyinyi, mimi naterema nami nashangilia pamoja nanyi nyote.
-