-
Wafilipi 2:19Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
19 Kwa upande wangu ninatumaini katika Bwana Yesu kumtuma Timotheo kwenu upesi, ili nipate kuwa nafsi changamfu nipatapo kujua juu ya mambo yanayohusiana nanyi.
-